Mkurugenzi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Hassan Kitenge (picha kubwa kushoto) akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi kilichofanyika mapema leo.
Tuesday, March 15, 2016
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAENDELEA NA VIKAO KAZI KWA NJIA YA VIDEO (VIDEO CONFERENCE)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi (kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi kilichofanyika mapema leo.
Baadhi ya Watendaji na Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi kilichofanyika mapema leo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw.Abdul Dachi (picha kubwa kushoto) akiwatambulisha watumishi wa mkoa wake walioshiriki kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi kilichofanyika mapema leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment