Saturday, March 19, 2016

MKUU WA MKOA AFUNGA KIKAO CHA 11 CHA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO WA SERIKALI MOROGORO

Katibu mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akiongea na maafisa Habari na mawasiliano wa Serikali na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe(wa tatu kutoka kulia) kufunga kikao cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika Mkoani Morogoro.Wengine pichani ni Mwenyekiti mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw.Assah Mwambene(wa kwanza kulia),Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ikulu Bw.Gerson Msigwa(wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa chama cha maafisa Habari na mawasiliano wa Serikali(TAGCO) Bw.Innocent Mungi.(wa pili kulia).

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe akiongea na maafisa habari na mawasiliano wa Serikali wakati akifunga kikao kazi cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika mkoani Morogoro.

 Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe wakati alipokuwa akifunga kikao cha 11 cha maafisa hao mkoani Morogoro.


Maafisa Habari na Mawasiliano wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw,Kebwe Steven Kebwe(wane kutoka kushoto waliokaa) mara baada ya kumaliza kikao kazi mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment