CHINI: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati aliposhiriki
mazishi ya baba mzazi wa waziri huyo mzee Ali Mwalimu, nyumbani kwa
marehemu eneo la Mchukuuni mjini Tanga Februari 19, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment