Na Mwandishi Wetu
Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija (Pichani Kulia). Binti huyu amemaliza katika shall ya Canossa, iliyoko jijini Dar es Salaam. engine waliofanya vizuri ni pamoja na binti mwenye asili ya Kichina Conking Wang aliyemaliza Feza Girls ambayo pia iko Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment