Friday, January 22, 2016

JK ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI YA UHUSIANO WA KIMATAIFA



Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika ana, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam. 

(Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog)



Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.



Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.



Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimpongeza baada ya kumhudhurisha Shahada ya heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.


Dk. Kikwete akishukuru



Dk. Kikwete akingoka baada ya kuhudhurishwa








Dk. Kikwete akiwa na Rais wa Chuo Kikuu cha Choson cha Korea, Profesa Such Chae Hong, ambaye naye pia alitunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari katika Mahahali hayo



Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa wamesimama kuimba wimbo wa Taifa baada ya kutunukiwa Shahada zao za Udaktari. Kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro



Dk. Kikwete na Profesa Such na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro



Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa Dk. Asha-Rose Migiro na viongozi wengie wa Chuo Kikuu Huria. Karibu na Dk. Migiro ni Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi



Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa na Mama salma Kiwete na Dk. Asha-Rose Migiro na baadhi ya viongozi wa OUT



Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Dk. Asha-Rose Migiro



Dk. Jakaya Kikwete akimpongeza mmoja wa wahitimu katika chuo hicho mwenye ulemavu wa miguu.



Dk. Jakaya Kikwete akimdodosa maswali, mtoto Novatus Salala (11), ambaye alimuona akimpiga picha kwa simu wakati wa mahafali hayo. Kulia ni Mama Salma Kikwete



Dk. Jakaya Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu huria w zamani, Dk. John Malecela na Mkuu wa sasa wa Chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiri wakati akiondoka mwishoni mwa hafla hiyo. (Picha zote na Bashir Nkoromo). PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA


No comments:

Post a Comment