Ajali hiyo imelihusisha gari dogo aina ya Toyota Landcruser alilokuwa akiendesha Bw Conrad Mtenga ambaye ni mwajiriwa wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (PCCB) aliyefariki hapohapo baada ya Gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na scania wakati akielekea njombe kuatangaza nia ya Kugombea Ubunge.
Katika ajali hiyo Dereva wa Gari hilo alifariki hapohapo pamoja na Meneja wake wa kampeni ambaye hakufahamika jina huku ndugu wengine wa familia yake walioongozana nae wakiwa maututi


No comments:
Post a Comment