Wednesday, June 11, 2014

MWANZA MACHINGA VS FFU, MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA


Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika Jiji la Mwanza maarufu kama Rock City hali si shwari baada ya vurugu kutokea wakati wafanyabiashara ndogondogo katika eneo la Makoroboi ambapo polisi walilazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya umati wa watu kama picha juu inavyoonekana.

lengo ni kuwataka wafanyabiashara hao wasifanye biashara katika eneo hilo, hata hiyvo hii sio mara ya kwanza kwa matukio hayo kutokea katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment