Mama mzazi wa maerehemu Tyson, Gladys Okomu akiingia katika
kanisa la Nairobi Gospel Center kuhudhuria misa ya mwisho ya marehemu George
Tyson. Mazishi ya Marehemu Tyson yatafanyika siku ya jumamosi tarehe
14/06/2014.
Beatrice Shayo katikati akiwa nje ya kanisa kabla ya misa ya
kumuombea marehemu George Tyson.
Bobby Buluma “Pengo of Cobra Squad” ambaye pia ni mmoja wa
waongozaji sinema ambaye pia laiwahi kuwa mwalimu wa George Tyson akisubiri
misa kuanza.
No comments:
Post a Comment