Taarifa zilizotufikia kutoka BBC London zimesema kuwa mke wa rais Uhuru Kenyatta
wa Kenya, Margaret Kenyatta(Pichani kulia) yuko London, lakini sio kwaajili ya ziara na
matembezi ya kiofisi, Margaret anafanya mazoezi kwaajili yam bio za Marathon
ambayo yanfanyika leo jumapili.
Mama Kenyatta anafanya mbio hizo ili kuchangisha fedha
kwaajili ya taasisi yake ya Upendo ijulikanayo kama “Beyond Zero”, ambayo ina
leongo la kupambana na ongezeko la vifo vya wajawazito na watoto
No comments:
Post a Comment