Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWS: MAKAMU WA RAIS, MAGUFULI, MKUU WA MKOA DSM NA KOVA WANUSURIKA KUFA KWA AJALI YA HELIKOPTA





Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilal alipokuwa akikagua uharibifu ulifanywa na mvua kubwa zinazoendelea Dar es Salaam katika maeneo mbalimbali, amenusurika katika ajali mbaya iliyotokea leo jijini Dar es Salaam.

Akiwa katika ziaza katika ziara hiyo hiyo ya kuwatumikia Watanzania, Dkt Bilal alifuatana na Waziri Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik pamoja na Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu, Afande Suleiman Kova.

Angalia baadhi ya picha zilizopatikana mitandaoni kama zinavyoonesha helikopta ikizimwa moto na gari la zimamoto.









No comments:

Post a Comment