Friday, March 21, 2014

PICHA ZA JK AKIZINDUA BUNGE MAALUMU LA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA



PICHA ZOTE NA IKULU

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh.Samuel Sita akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aktika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma ili kulihutubia na kuzindua Bunge maalum la Katiba leo jioni.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh.Samuel Sita kuignia katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo jioni ili kulihutubia na kulizindua rasmi.

ANGALIA PICHA ZAIDI . . .


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais wa Awamu ya pili Mama Siti Mwinyi wakisiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete bungeni mjini Dodoma leo(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni.




No comments:

Post a Comment