Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la Time, ripoti kutoka shirika la habari la NBC News, zimeonesha video iliyoonesha kidokezo cha tangazo hilo ambayo imeunganisha kipande kidogo cha hotuba ya Malcom X cha mwaka 1965 katika fujo kwa kutumia picha za wanajeshi wa jeshi la Marekani pamoja na bomu lililolipuliwa katika michezo ya riadha jijini Boston.
Hilo halitokuwa jarida la kwanza la aina hiyo kuonekana sokoni. Inadaiwa kuwa mlipuaji wa bomu katika tukio mashindano ya kimataifa ya riadha yaliyofanyika jijini Boston, alitoa siri za kutengeneza bomu hilo kwa kutumia machapisho kama hayo, na kwamba machapisho hayo yanatokana na jinsi utaratibu na maelekezo yanayoandaliwa na Al-Qaeda.

No comments:
Post a Comment