Monday, February 10, 2014

JAMANI HALI INAZIDI KUWA MBAYA, HIKI NDO KINACHIENDELEA

Upesi upesi mpiga picha alifanikiwa kupata tukio hili huko Bangui, Afrika ya Kati ambapo mapigano yanaendelea. kama anavyoonekana mmoja wa wanajeshi akishindilia kisu kwa mtu anaedaiwa kuwa ni mmoja wa kundi la waasi nchini humo.

No comments:

Post a Comment