HII KIBOKO: TANZANIA PIA KUNA BARAFU (SNOW) ANGALIA PICHA HIZI
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma akiwa amepozi kwenye barafu kufuatia mvua za mawe zilizokuwa zinaendeleawilayani humo hivi karibuni kama anavyoonekana.
Chini: ni eneo lililodondokewa na barafu wilayani humo
No comments:
Post a Comment