Thursday, January 02, 2014

HATARI: HII INATISHIA AMANI KWA WASAFIRI


Hii ni sehemu ya barabara ya Mpanda kuelekea Kigoma, hapa madereva wakihangaika kunasua magari yaliyokwama kwenye tope kama walivyokutwa na kamera ya mdau wetu hivi karibuni.





No comments:

Post a Comment