Msafara wa rais wa Marekani Barack Obama baada ya kuwasili nchini Tanzania, gari la pili ndilo gari ambalo limembeba rais huyo ambapo msafara huo ulitokea moja kwa moja uwanja wa ndege wa taifa na kuelekea Ikulu ambapo hivi sasa anajiandaa kuongea na waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment