Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtanzania Omary Sykes (pichani juu) mwenye umri wa miaka 22 alivamiwa juzi na kupiwa risasi na vibaka akiwa Washington DC, alipokuwa anatoka chuoni, mwenzake aliyekuwa anafuatana nae alijeruhiwa ila inadaiwa yuko salama.
No comments:
Post a Comment