Thursday, June 06, 2013

LIVE: MAZISHI YA ALBERT MANGWEA

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akimsikiliza producer Pfunk, katika eneo la Kihonda mahali atakapozikwa Albert Mangwea. Msanii ambaye ni rafiki yake wa karibu Marehemu Ngwea, M to P amewasili kutoka Afrika Kusini kushiriki mazishi ya rafiki yake. M2P ndio mtu wa mwisho kuwa na Mangwea kabla mauti hayajamkuta.


Fuatilia Matukio inafanya jitihada za kupata picha za M2P na kukuletea muda si mrefu

No comments:

Post a Comment