Droo ya michuano ya kombe la Kagame itafanyika kati ya Mei 17 na 18 huku tayari nchi 13 zikithibitisha ushiriki wa michuano hiyo mwaka huu
Michuano hiyo inatarajia kufanyika Juni 21 mpaka Julai 5 timu shiriki kwenye michuano hiyo ni pamoja na Tusker (Kenya) Vital (Burundi) The Express (Uganda) APR (Rwanda) Super Falcom (Zanzibar) Al- Hillal, EL- Merreick, AL -Ahly pamoja na Simba , Yanga Tanzania
No comments:
Post a Comment