Friday, May 03, 2013

MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHIHISHWA UPYA!



BAADA ya tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Tanzania Mhe. Mizengo Pinda  kuchunguza matokeo ya kidato cha nne 2012, LEO imeitaka serikali ifute matokeo yote na mitihani isahihishwe upya!

Hayo yamesemwa bungeni leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia sera na uratibu, Mhe. William Lukuvi.


No comments:

Post a Comment