Lil Kim amerejea studio kuandaa albamu mpya na mara hii akimtumia prodyuza Bangladesh, akiwa ndio kwanza amerejea kutoka kufanya shoo ya usiku mmoja tu jijini New York Lil Kim amezungumzia albamu yake ya kwanza tangu mwaka 2005 alipotoa 'The Naked Truth'
Amemuhusisha prodyuza huyo aliyepika ngoma zilizouza kwa kiwango cha nakala milioni 'A milli ya Lil Wayne, pamoja na Diva ya Beyonce kuwa ndiye atakaye kuwa mtayarishaji wake wa muziki
No comments:
Post a Comment