Friday, May 17, 2013

BEBIJULIET AJIANDAA KUTOKA NA MITINDO MIPYA


Kundi la wanamitindo wakiwa wamevalishwa na mbunifu Bebi Julliet Mdandu, Bebi yuko katika maandalizi ya onesho lake la mavazi linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Blog ya immamatukio itakufahamisha endelea kufuatilia

No comments:

Post a Comment