Baadhi ya wahitimu wa chuo cha Uandishi wa Habari (DSJ) ngazi ya stashahada ya uandishi wa habari wakifwatiria sherehe za mahafali hayo ya 18 yaliyofanyika leo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam |
Baadhi ya wanafunzi wa ngazi ya Cheti cha Uhusiano na Umma na Utoaji Matangazo wakifwatiria mtililiko mzima wa sherehe za mahafari hayo |
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta (aliyesimama) akisoma hotuba yake mbele ya wahitimu hawapo pichani (kushoto) ni mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari (DSJ) Joach Lupepo |
Baadhi ya wahitimu wakishikana mkono na mgeni rasmi Samuel Sitta baada ya kutunikiwa vyeti |
Muhitimu wa ngazi ya Stashahada ya Uandishi wa Habari Micheal akifurahia baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa jumla katika masomo yake |
Akitoa chozi la furaha baada ya kutangazwa kuwa mwanafunzi bora |
Mgeni rasmi Samuel Sitta akibadilishana mawazo na muhitimu mara baada ya mahafari hayo kuisha |
Waziri Samuel Sitta akipokea zawadi ya heshima kwa kuhudhuria mahafari hayo kutoka kwa mkufunzi wa masomo wa chuo hicho |
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta akiwaaga wahitimu kwa staili ya kitambaa cheupe |
Baadhi ya wahitimu wakipongezana |
Baadhi ya wahitimu wakicheza katika mahafari hayo |
No comments:
Post a Comment