Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifika katika eneo hilo huku akiongoza kikosi cha waokoaji |
Haya ni baadhi ya majengo ambayo yamezunguka eneo ya jengo lililodondoka |
Baadhi ya watu waliokuwa wanatoa huduma ya uokoaji wakimsaidia mtu mmoja aliyeokolewa katika jengo hilo |
Kamanda mkuu wa kanda maalum Dar es Salaam Suleimani Kova naye alifika eneo la tukio |
Hali ndiyo ilivyo wengine wakishangaa na hayo ni mabaki ya jengo hilo |
Hii ni moja ya gari ambalo limeokolewa likiwa tayari limeshaharibika |
Gari ambalo limefunikwa na kifusi hicho |
Baadhi ya watu wakiwa wanashangaa kifusi hicho |
Atari tupu
ReplyDelete