BEYONCE AIMBA WIMBO WA TAIFA KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA BARAKA OBAMA
Beyonce Knowles alifanya kitu cha tofauti Washington DC kwa kuingia katika historia ya aina yake kwa kuimba nyimbo ya taifa ya nchi hiyo siku ya sherehe za kuapishwa kwa rais Baraka Obama
Beyonce aliongozana na mumewe Jay Z, siku ya sherehe hiyo
No comments:
Post a Comment