![]() |
| Hapa mashabiki wakiigia uwanjani ambapo walisababisha fujo kubwa uwanjani na kusababisha vifo zaidi ya watu 80 na inasemekana idadi inazii kuongezeka. |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya Al-Ahly wakiwa wanakimbia kuokoa maisha wakati mashabiki wa timu ya Al-Masry walipovamia uwanja wakitaka kuwapiga |




No comments:
Post a Comment