![]() |
| Baada ya shughuli nzito ya ubatizo, waumini wa kanisa hilo walipata zawadi ya kinywaji. hapa mmoja wa waumini akisaidia kufungua soda hizo siku ya mwaka mpya 2012. |
![]() |
| Mchungaji Kiongozi 'Baba' Josephat Gwajima akimbatiza mmoja wa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima, siku ya mwaka mpya 1, januari, 2012 |
![]() |
| 'Umeshabatizwa katika jina la Yesu' Mchungaji Kiongozi 'Baba' Josephat Gwajima akimbatiza mmoja wa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima, siku ya mwaka mpya 1, januari, 2012 |
![]() |
| Dada ambaye sikuweza kupata jina lake mara moja akiwa amezidiwa baada ya kubatizwa akiwa amebebwa akipata msaada kutoka kwa Shepards on training. |
![]() |
| Umati mkubwa wa waumnini wa kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Kawe wakiwa wamejipanga katika mistari wakisubiri kubatizwa jana tarehe 1.januari 2012 |






No comments:
Post a Comment