Monday, June 06, 2016

TANAPA YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA NA WANAHABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI NCHINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe (MB) akifungua mkutano wa Mwaka wa hifadhi za taifa Tanzania na wanahabari na wanahabari waamdamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Lengo la mkutano huo ni kuhamasisha na kuelimisha umma juu ya vivutio mbalimbali vilivyopo nchini pamoja na kulinda mali asili zilizopo ikiwa ni pamoja na uhifadhi wa Tembo na Faru.

Waziri Maghembe amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao vyema na kuelimisha umma kufanya utalii wa ndani na kuliongezea kipatop taifa. Aidha alisema Serikali itaendelea kuvitangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini kitaifa na kimataifa.
Baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi wa vyombo vya Habari nchini wakishiriki katika mkutano huo mkoani Morogoro.
Watoa Mada katika mkutano huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi.
Baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi wa vyombo vya Habari nchini wakishiriki katika mkutano huo mkoani Morogoro. BOFYA HAPA KUSOMA NA KUONA PICHA ZAIDI.






Baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi wa vyombo vya Habari nchini wakishiriki katika mkutano huo mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi akizungumza.
Wahariri na waandishi wa habari waandamizi wakifuatilia ufunguzi huo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe.
Wahariri wakiendelea kufuatilia hotuba mbalimbali za ufunguzu.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe akizungumza.
Mkutano unaendelea na wahariri wakifuatilia hotuba.


No comments:

Post a Comment