Tuesday, June 07, 2016

SHARON ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA

Mtoto Sharon Mwakifulefule (kushoto) akisalimiana mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakati alipokwenda kituoni hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Mtoto anayelelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund cha Mbagala Chamanzi , Abdul ,akiwa na wenzake wakati Mtoto Sharon Mwakifulefule alipokwenda kituoni hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Watoto wa kituo cha Yatima Trust Fund cha Mbagala Chamanzi wakionyeshwa na mlezi wa kituo hicho Yessaya Mwakifulefule jinsi ya kutumia simu wakati alipofika hapo paoja na mwanae Sharon ( 7) (hayupo pichani) kituoni hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Sharon Mwakifulefule (7) akiwaelekeza watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamzanzi jijini Dar es Salaam, jinsi ya kutumia simu wakati alipofika kituoni hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Sharon Mwakifulefule (7)wapili kulia akiwa na wazazi wake pamoja na watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Yatima Trust Fund Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam,wakati alipokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambayo aliifanya katika kituo hicho.
Sharon akiwagawia juice watoto wanaolelelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund cha Mbagala Chamanzi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa( 7) ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Sharon ( kulia) akimlisha keki Yesaya Linus ambayeni mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakishirikiana kukata keki wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa(7) iliyofanyika kituoni hapo.
Mtoto Yesaya Linus akimlisha keki Sharon Mwakifulefule
Fatma Ali ambaye ni mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima Trus Fund kilichopo Mbagala Chamanzi akilishwa keki na Sharon Mwakifulefule wakati wa sherehe yake kuzaliwa (7) iliyofanyika kituoni hapo , ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari kwa watoto wenzake.
Sharon Yesaya akimkabidhi msaada wa madaftari Fatma Ali ambaye ni mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima Trus Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla yake ya kuzaliwa (7) iliyofanyika kituoni hapo , ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari kwa watoto wenzake.
Watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, Mwajuma Idd na Halma juma ,wakikabidhiwa msaada wa unga na Sharon Yesaya, wakati wa hafla ya siku yake ya kuzaliwa (7) ambapo alikwenda kuiadhimisha paoja na watoto wenzake wa kituo hicho.
-- Mroki Mroki C.E.O MD Digital Company & FK Blog General Secretary PPAT Professional Photojournalist & BLOGGER P.O.BOX 110097, Mob: +255 755 373999 /+255 717 002303, Email: mrokim@gmail.com. Blog: www.mrokim.blogspot.com DAR ES SALAAM, TANZANIA

No comments:

Post a Comment